Mkoa wa Mbeya ama maarufu kama the Green city kama inavyo onekana hapa katika picha, ni mkoa ambao umebarikiwa kuwa na kijani kibichi na cha kipekee katika mkoa mzima, milima ambayo iko kila kona ya Jiji la Mbeya ina ufanya mkoa huo kua na hali ya hewa nzuri ambayo pia ni kivutio cha watu wengi ambacho kimesababisha watoke mikoani kwao na kuweka makazi Jijini hapa. Licha ya hali ya hewa kua ni nzuri mkoa huu pia umejaaliwa kuwa na maisha ambayo si Gharama ikiwa na bei za vyakula kua poa,na pia pango za nyumba na ujenzi ukiwa bei nafuu sana. Hata hivyo mkoa huu pia unasifika sana kwa mambo mengi na yakipekee ambayo mengi utakutana nayo hapa kadili ya siku zitakavyo kua zikisonga mbele. Karibuni sana Jijini Mbeya kuwekeza pia kuanya makazi.
Saturday, March 5, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
hii inapendeza sana, angalieni watu wasikate miti hovyo, kama mnavyojua uluguru imefekwa miti yote ,morogoro hapapendezi tena. thanx for sharing
Post a Comment