Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, June 20, 2016

Maadhimisho ya mtoto wa Africa yafana Mbeya

Maadhimisho ya mtoto wa Africa na uzinduzi wa mkakati wa Dream utakaodumu kwa kipindi cha miaka miwili wenye lengo la kusaidia kupambana na ongezeko la maambukizi ya ukimwi na mkoa ni wa tatu baada ya Njombe na Dar. Mwakilishi wa tume ya kudhibiti ukimwi nchini Tacaids EMMANUEL Petro amesema kuwa mpango wa kudhibiti maambukizi utasambazwa nchini kote na kwa kuanzia wameanza na mikoa mitatu nchini ya Dar Shinyanga Mbeya na Wilaya saba zitanufaika na mkakati huo ambao utasaidia kutoa elimu kwa wahanga ili kujitegemea kwa kuwawezesha kiuchumi na kulipa karo kwa wanafunzi ili wawe salama kiafya waweze kutimiza ndoto zao za kimaisha. Kaimu mganga mkuu wa Mkoa wa mbeya Agnes Buchwa ameishukuru serikali ya Marekani kwa kusaidia juhudi za kupambana na maambukizi ya ukimwi  mkoa wa Mbeya.


No comments: