Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, March 18, 2016

KANDORO AKABIDHI OFISI RASMI KWA AMOS MAKALLA.Mkuu wa Mkoa wa Mbeya mstaafu Abasi Kandoro (kulia) akimkabidhi rasmi ofisi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala katika hafla fupi iliyofanyika katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Machi 17 mwaka huu.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala akizungumza na watumishi  waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya ofisi na Mkuu wa Mkoa mstaafu Abaas Kandoro Machi 17 mwaka huu .

Baadhi ya watumishi wa ofisi ya mkoa wa mbeya wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa huo Amos Makala wakati akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya ofisi na Mkuu wa Mkoa mstaafu Abasi Kandoro Machi 17 mwaka huu.

Mkuu wa Mkoa Mstaafu Abas Kandoro akizungumza na watumishi na baadhi ya viongozi (hawapo pichani)waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya ofsini na Mkuu wa Mkoa mpya Amosi Makala Machi 17 mwaka huu.

Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mbeya  wakiwa makini kumsikiliza Mkuu wa Mkoa mstaafu Abaas Kandoro wakati awaaga rasmi mara baada ya kustaafu rasmi nafasi hiyo.

Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya Mariam Mtunguja akitoa taarifa fupi kwa wageni waliohudhuria hafla hiyo.

Baadhi ya watumishi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya waliohudhuria hafla fupi ya makabidhiano ya o
- See more at: http://jamiimoja.blogspot.com/2016/03/makala-ataka-suala-la-kipindupindu-liwe.html#sthash.rAGeofWJ.dpuf
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya mstaafu Abasi Kandoro (kulia) akimkabidhi rasmi ofisi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala katika hafla fupi iliyofanyika katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Machi 17 mwaka huu.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala akizungumza na watumishi  waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya ofisi na Mkuu wa Mkoa mstaafu Abbas Kandoro Machi 17 mwaka huu.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya mstaafu Abasi Kandoro (kulia) akimkabidhi rasmi ofisi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala katika hafla fupi iliyofanyika katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Machi 17 mwaka huu.
Mkuu wa Mkoa Mstaafu Abas Kandoro akizungumza na watumishi na baadhi ya viongozi (hawapo pichani)waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya ofsini na Mkuu wa Mkoa mpya Amosi Makala Machi 17 mwaka huu.
 
Watumishi wa Serikali wakisikiliza kwa makini maagizo ya 
Mkuu wa Mkoa huo Amos Makala wakati akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya ofisi na Mkuu wa Mkoa mstaafu Abasi Kandoro Machi 17 mwaka huu
Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya, Mariam Mtunguja akimkabidhi zawadi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla  baada ya kumaliza makabidhiano ya ofisi na Mstaafu Abbas KandoroMkuu wa Mkoa wa Mbeya mstaafu Abasi Kandoro (kulia) akimkabidhi rasmi ofisi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala katika hafla fupi iliyofanyika katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Machi 17 mwaka huu.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala akizungumza na watumishi  waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya ofisi na Mkuu wa Mkoa mstaafu Abaas Kandoro Machi 17 mwaka huu .

Baadhi ya watumishi wa ofisi ya mkoa wa mbeya wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa huo Amos Makala wakati akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya ofisi na Mkuu wa Mkoa mstaafu Abasi Kandoro Machi 17 mwaka huu.

Mkuu wa Mkoa Mstaafu Abas Kandoro akizungumza na watumishi na baadhi ya viongozi (hawapo pichani)waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya ofsini na Mkuu wa Mkoa mpya Amosi Makala Machi 17 mwaka huu.

Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mbeya  wakiwa makini kumsikiliza Mkuu wa Mkoa mstaafu Abaas Kandoro wakati awaaga rasmi mara baada ya kustaafu rasmi nafasi hiyo.

Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya Mariam Mtunguja akitoa taarifa fupi kwa wageni waliohudhuria hafla hiyo.

Baadhi ya watumishi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya waliohudhuria hafla fupi ya makabidhiano ya o
- See more at: http://jamiimoja.blogspot.com/2016/03/makala-ataka-suala-la-kipindupindu-liwe.html#sthash.rAGeofWJ.dpuf

WATUMISHI wa Mkoa wa Mbeya wametakiwa kuacha kufanya kazi kwa mazoea bali kila mtu anapaswa kuwajibika kwa kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuwaletea tija wananchi kwenye maeneo yao.

Rai hiyo ilitolewa  na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla alipokuwa akizungumza na baadhi ya Watumishi wa Mkoa wa Mbeya waliojitokeza katika hafla ya makabidhiano ya Ofisi baina yake na Mkuu wa Mkoa aliyestaafu Abbas Kandoro.

Makalla alisema kila mtumishi akiwajibika katika eneo lake litachangia kuondoa ombwe katika uongozi ambapo kila mwananchi atapata huduma katika ngazi husika ili kuondoa maandamano ya wananchi kudai haki na kutaka kero zao zitatuliwe na Mkuu wa Mkoa.

“Nimekuja hapa kwa lengo la kukumbushana sina jipya kinachotakiwa ni uwajibikaji, tuwatumikie wananchi wetu, haiwezekani suala dogo mtu anafunga safari kwenda kwa Mkuu wa Mkoa nataka masuala ya Mkuu wa Mkoa yawe na hadhi ya Mkuu wa Mkoa” alifafanua Makalla.

Alisema ili kuepusha kukaa na matatizo ya wananchi pamoja na migogoro inayoweza kutatulika ni lazima kila Mkuu wa Wilaya pamoja na wataalam wake kutenga siku moja ya kukaa ukumbini kusikiliza shida mbali mbali za wananchi ili zinazoshindikana anapeleka mbele.

“Naagiza kila alhamisi kuanzia saa nne asubuhi hadi saa nane mchana Mkuu wa Wilaya pamoja na wataalam wako mtakaa ukumbini ili kusikiliza na kujibia shida za wananchi kabla taarifa haijafika kwangu” alisema Mkuu wa Mkoa.

Aliongeza kuwa Watumishi wanaojihusisha na mitandao ya kijamii muda wa kazi wanapaswa kujirekebisha kwani hatakuwa mvulimivu kwa mtu yoyote ambaye atashindwa kutimiza wajibu wake kwa jamii.

Mbali na hayo Mkuu huyo wa Mkoa ameagiza watumishi wote kuhakikisha wanasimamia usafi wa mazingira ili ugonjwa wa kipindupindu usijirudie au kuwepo katika Mkoa wa Mbeya.

Awali akikabidhi taarifa ya Mkoa wa Mbeya  kwa Mkuu wa Mkoa Amos Makalla, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya aliyemaliza muda wake, Abbas Kandoro alisema anawashukuru marais wa awamu zote kwa kumuamini na kumpa majukumu kwa kipindi chote cha uongozi wake.

“Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru Marais wa awamu zote kuanzia awam ya kwanza ya Mwalimu Nyerere kwani nilianza kazi serikalini mwaka 1976 hadi leo ambapo Dk. Magufuli aliniona katika kipindi cha miezi mitano ambapo hadi leo nimefikisha miaka 40 ya utumishi sio haba” alisema Kandoro.

Aidha alisema amefanya kazi yenye mafanikio katika Mkoa wa Mbeya kutokana na ushirikiano alioupata kutoka kwa watumishi kuanzia ngazi ya chini hadi kamati ya ulinzi na usalama za Wilaya ya Mkoa.

“Niseme tu kuwa wanaoishi Mkoa wa Mbeya ni watu wenye misimamo ambao ukienda bila utaratibu hawasikii lakini ukiwatumia na kuwashirikisha watumishi wengine hadi ngazi ya chini mambo mengi yanafanikiwa” alifafanua Kandoro.

Hata hivyo Kandoro alivipongeza vyombo mbali mbali vya habari kuwa vimekuwa daraja muhimu la kuwaunganisha watumishi na wananchi katika maeneo mbali mbali hivyo kumuomba Mkuu wa Mkoa kuimarisha daraja hilo ili lisibomoke.

No comments: