SASA
ni miaka kumi Tangu alipo tutoka mpendwa wetu Subilaga Kisyala mwaka
2005 Agosti Familia, Ndugu, na Jamaa tutakukumbuka Daima Kwa mema uliyo
tutendea ulupo kuwa hai, Alizaliwa mwaka 1968 na kufariki 2005
Mpendwa
wetu uliondoka na kuacha Baba na watoto wake Watano walio kuwa bado
wanahitaji huruma na upendo wako, Daima hautafutika katika akili zao
hakuna kama mama hakika upendo wa mama katika maisha ya kila siku
unahitajika sana,
Wanapo
sema kila alipo Mama mmoja kuna mafanikio hilo halipingiki utakumbukwa
kwa yale mengi uliyo yafanya kabla huja funga macho yako milele.
Uliwaacha
watoto wako Heri, akiwa anajitegemea Furaha (Ayubu) akiwa kidato cha
kwanza, Godfrey (Kelvin) akiwa shule ya msingi, Nehemia akiwa Shule ya
msingi, Na Grades msichana pekee katika familia, akiwa hajaanza hata
shule na akiwa na miaka minne na sasa kidato cha kwanza, watoto hawa
bado walikuwa wanahitaji upendo wako.
Daima Fanilia yako na watoto wako watakukumbika milele.
WE WILL MISS U FOREVER
Mungu akuweke mahara pema peponi Subilaga (2005-2015)
1 comment:
Alazwe pema peponi
Amen !!
Post a Comment