Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, May 21, 2015

WAANDISHI WA HABARI WA JIJINI MBEYA WAMJULIA HALI , MWANDISHI MWENZAO EZEKIEL KAMANGA ALIYEPATA AJALI HIVI KARIBUNI.

 Kutoka kulia ni  Joackim Nyambo, Venance Matinya, Ester Macha na Mzee Mwakilili wakiwa wanamjulia Hali Mzee Kamanga katika Hospitali ya Rufaa Jijini Mbeya.
 Msimamizi wa Libeneke la Mwalafyale leo akimjulia hali Ezekiel Kamanga
 Solomon Mwansele na Brandy Nelson wakiwa wanamjulia hali  Mzee Kamanga 
Waandishi wa Habari wakiwa wanaondoka Hospitalini hapo Baada ya kumjulia Hali Mzee Kamanga.

No comments: