Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, May 15, 2015

TUKIO KATIKA PICHA: MAMIA WAMUAGA ALIYEKUWA MWANDISHI WA HABARI WA STAR TV FREDY BAKALEMWA, MWILI WASAFIRISHWA KWENDA BUKOBA MCHANA HUU

 Maremu Fredy Bakalemwa enzi za Uhai wake 
Mke wa Marehemu
Msimamizi Mkuu wa Mbeya yetu Joseph Mwaisango akiwa anaaga mwili wa Marehemu
 Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakiaga mwili wa marehemu
 Msimamizi Mkuu wa Mbeya yetu Blog Joseph Mwaisango akiwa katika Ibada ya Kumuaga aliyekuwa Mwandishi wa Star Tv Fredy Bakalemwa
 Mwili wa Marehemu ukiwa ukiwa unaingizwa ndani ya Gari tayari kwa kusafirishwa kwenda Bukoba
 Wakiwaaga
 Gari likiwa linaondoka 

Na Mbeya yetu
No comments: