Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, April 27, 2015

TUKIO KATIKA PICHA: MAKABURI KUBOMOKA NA KUTOFANYIWA USAFI KATIKA ENEO HILI JIJINI MBEYA, JE NI JUKUMU LA NANI?

Hii ndio hali halisi ya haya Makaburi .. Tayari miundombinu inaelekea kuharibika kabisa.
Hii ni njia ya Makaburini ya kuelekea Mazikoni
 Ni Full kichaka hapa hakuna hata sehemu ya kupita kwa Raha wakati watu wanaenda kutembelea Marehemu wao
 Mvua ikinyesha ndio tabu kabisa
 Makaburi yemebongonyoka kabisa 
 Haieleweki ni nani anatakiwa kufanya usafi katika maeneo haya
 Makaburi mengine yakiwa yameshafutika kabisa
 Makaburi yapo lakini pia na Majani yamezidi sana
Mbeya yetu... Tulifika eneo la Tukio na kujionea sisi wenyewe na kushuhudia jinsi gani miundombinu ilivyokuwa imeharibiwa haya maeneo ambayo Marehemu wamepumzishwa.. Licha ya hilo eneo hili la Makaburi limesahaulika kabisa hakuna wa kufanya usafi .. 

Hapa swali ni kwamba nani anayehitajika kufanya usafi maeneo haya? ni Ndugu wa Marehemu au Serikali?

Na Mbeya yetu

2 comments:

Anonymous said...

Ndugu wa marehemu. Sioni kama serikali inahusika na makaburi. Tunajibweteka kweli kila kitu serikali. Hata kufanya usafi wa nyumba yako tutasema serikali ije ifanye. Tujenge utamaduni wa kufanya usafi katika makaburi ya ndugu zetu.

Anonymous said...

Tunaomba habari mpya Mbeya yetu. Hii ya makaburi tumechoka kuiona sasa.