Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, April 10, 2015

MKURUGENZI WA HABARI WA TONE MULTIMEDIA NA MSIMAMIZI MKUU WA MBEYA YETU , JOSEPH MWAISANGO AMELAZWA RUFAA MBEYA KWA MATIBABU.

Mkurugenzi wa Habari wa Tone Multimedia Group na Msimamizi Mkuu wa Mbeya yetu Blog Bw. Joseph Mwaisango akiwa Katika Hospitali ya Rufaa jijini Mbeya akipata Matibabu ambapo amelazwa kwa siku Kadhaa, Pembeni ni Mke na Ndugu zake wakiwa wanampa Pole.
 Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa wamefika kumtanzama Bw. Joseph Mwaisango.

Mkurugenzi wa Habari wa Tone Multimedia Group Ambao ni wamiliki wa Blogs za Mikoa Tanzania na Mbeya yetu ikiwa Ndani yake Bwana Joseph Mwaisango, Amelazwa katika Hospitali ya Rufaa kwa Matibabu zaidi kwa siku kadhaa sasa. Kwa sasa anaendelea vizuri ingawa bado yupo anaendelea na matibabu Hospitali. 

Timu Nzima ya Tone Multimedia Group tukiwa pamoja na wasomaji wetu wote tunamuombea Bw. Joseph Mwaisango Apone Haraka ili arejee kuendelea na ujenzi wa Taifa.


No comments: