Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, January 13, 2015

WAFANAYAKAZI WA UWANJA WA NDEGE SONGWE WACHELEWAJI KUFIKA KAZINI ABIRIA WALEO ALFAJIRI WASOTA KWA MASAA WAKIWASUBIRI WAFANYAKAZI HAO


Songwe international  Reporting time  6.15am Basi la airport staff linafika 07.40 am likiwa na wafanyakazi hivi kweli ndiyo utaratibu wa kazi?

Abiria wakiwa wameduwaa wala hawajui wa kumuuliza kuwa ndege ipo au la  poleni sana abiria wa leo asubuhi
Foleni ya mabegi hakuna wa kukagua  kazi ipo jee huu ni uungwana? kuwasotesha Abiria namna hii?

2 comments:

Anonymous said...

Watu wanatafuta kazi, wenye kazi hawathamini kazi zao. Kama hawataki si wawaachie watafutaji? ni aibu kwa secta kubwa kama uwanja wa ndege. Wanapaswa kujifunza na sio mzahamzaha tu

Anonymous said...

Uongozi wa uwanja wa ndege Songwe wapewe adhabu kali kwa kusababisha abiria kuwa subiri badala ya wao kusubiri abiria ni lazima wajue hiyo ni biashara kama bishara zingine usipo jail wateja wako wana kambilia kwa mwingine Watanzania tujifunze kuwa ni wafanya biashara wa kimataifa.