Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, January 12, 2015

NAIBU WAZIRI WA MAJI MH. AMOS MAKALLA AKIWA ZIARANI MBEYA VIJIJINI


Naibu waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akikwepa utelezi  wakati akikagua chanzo cha maji ya chemchemu  ya Ndoba kijiji cha Galijembe
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akipokea zawadi kijiji cha Shongo
ambapo wananchi walimlaki kwa furaha 
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla katika Akipanda mti chanzo cha Ndoba- kijiji cha Galijembe
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akizindua rasmi mradi kijiji cha Shongo. Kwa picha zaidi 
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla apokelewa kwa shangwe kijiji cha shongo
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akizindua Maji kijiji cha shongo
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla  na mbunge wa Mbeya Vijijini mch Luckson  Mwanjale (kushoto) wakikata utepe kuashiria uzinduzi mradi maji kijiji cha shongo
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akipokea zawadi kijiji cha Shongo

Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla amefanya ziara ya vijiji mbalimbali Mbeya Vijijini ambako amezindua mradi mkubwa maji vijiji vya Shongo na Igale maelfu wafurahia. Katika ziara hiyo kaagiza wakala wa visima (DDCA) kuchimba kisima kirefu kijjiji cha Mjele kutekeleza ahadi ya mhe Rais Jakaya Kikwete kuwaokoa wananchi maelfu kufuata maji umbali wa kilomita 7. Pia ametoa ahadi ya kuanza utekelezaji wa mradi wa maji wa  maji vijiji vya Iwindi,Mwashiwawala na Izumbwe ambao ulisimama baada mkandarasi kusimamishwa kwa kushindwa kazi.

ZAIDI INGIA HAPA>>

No comments: