Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, January 8, 2015

TANGAZO TANGAZO MUHIMU CHUKUA FURSA: KWA WAFANYABIASHARA WOTE,VYUO, TAASISI MBALIMBALI, SHULE NA WATU WOTE HII INAWAHUSU SOMA HAPA AU PIGA SIMU 0765056399 NA 0654221465 SI YA KUKOSAKwa maelezo zaidi na Jinsi ya kutangaza Piga simu namba, Whatsapp, au SMS  +255765056399 au +255654221465

Tangazo litumwe hapa: blogzamikoa@live.com


Tone Multimedia Company Limited kupitia  Mtandao wake mkubwa wa www.blogszamikoa.blogspot.com  ambapo na Mtandao huu wa Mbeya yetu upo ndani yake tunawapa nafasi Wafanya Biashara wote wa Mkoa wa Mbeya na Nje ya Mkoa wa Mbeya kuleta Biashara zao na kuzitangaza hapa moja kwa moja kwa bei sawa na Bure, usiogope leta Biashara yako nasi Tutakutangazia hapa pia hii ni nafasi yako ya kuwafikia watu wengi zaidi ndani  na Nje ya Mkoa pia Nchi za Nje.

Kwa Mashuleni, Vyuoni na Taasisi mbalimbali hii pia ni nafasi yenu muhimu ya kutangaza Mihula mipya na nafasi za Masomo kwa wanafunzi wanaotarajia kuanza shule au vyuo mbalimbali na Taasisi kwa mwaka 2015/2016 wahi sasa, waweza weka tangazo la kujiunga na shule pia kama kuna fomu za kupakua “Download” Tunaweza wawekea hapa moja kwa moja na ikawarahisishia hata wale waliopo nje ya Mkoa wa Mbeya kuipata Fomu hiyo Kiurahisi zaidi.

Wale ambao wanafanya Biashara za Udalali, Kuuza nyumba , Magari, Viwanja , Kupangisha  nyumba, kuuza vitu mbalimbali na mambo kama hayo pia nafasi hiyo mnayo kutangaza vitu vyenu hapa na katika Blog zengine za Mkoani.

Wenye Mahoteli, Bar, Migahawa, wanaopamba kumbi za Sherehe Mbalimbali, Wale wasema Chochote yaani ma MC , Saluni, Maduka ya Nguo, Simu, Vifaa vya Umeme, Spea za Magari, Wanaofanya kazi za Kupiga picha za Mnato na Video, Watengeneza Keki na Waandaaji wa Chakula, Wanamuziki wa aina zote Pia ni nafasi yenu kutangaza ama kutambulisha kazi zenu hapa kwa Gharama sawa na Bure.

Bila kusahau kama kuna Mkutano wa aina yoyote , Kongamano, Tamasha, Sherehe yoyote pia  karibuni kutumia nafasi hii kujitangaza ili watu zaidi wapate kuwaona.

Kumbuka  kuwa Mitandao ya Kijamii(Blog)  ndio Jibu lako la Biashara yako na mambo mbalimbali yaliyotajwa hapo juu fanya maamuzi sahihi Tangaza hapa nasi Tutakutendea haki , Hili ni chaguo lako

Baadhi ya watu tuliofanya nao kazi ni Pamoja na PSPF Tanzania , Jetlink Kenya, Vodacom Tanzania, Uchumi Supermarket, Nashera Hotel, Eco Bank Tanzania, Maisha Plus, Safari Lager, CBE, Teofilo Kisanji  University, OXFAM Tanzania, TIA, Sibuka TV, Mabibo Beer and Wine , Zuku, Mlimani City, B-Blue, Com Net, Amana Bank, Mbeya water Spring, Mbeya Hotel,Beaco Hotel,  ALAF na wengine wengi.


Kwa maelezo zaidi na Jinsi ya kutangaza Piga simu namba, Whatsapp, au SMS  +255765056399 au +255654221465
 


No comments: