Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, December 29, 2014

HEPI BESDEI MH. PROF. MARK MWANDOSYA

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Mh. Prof. Mark Mwandosya akikata keki sambamba na wajukuu zake wakati wa kusherehekea kutimiza miaka 65 ya kuzaliwa kwake,aliyoiadhimisha jana huko kijijini kwake Lufilyo, Busokelo, Wilayani Rungwe


Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Mh. Prof. Mark Mwandosya akiwa kwenye picha ya pamoja na wajukuu zake wakati wa kusherehekea kutimiza miaka 65 ya kuzaliwa kwake,aliyoiadhimisha jana huko kijijini kwake Lufilyo, Busokelo, Wilayani Rungwe.
.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Mh. Prof. Mark Mwandosya na Mkewe Mama Lucy Mwandosya (wa pili kushoto nyuma) wakiwa kwenye picha ya pamoja na wajukuu zao wakati wa kusherehekea kutimiza miaka 65 ya kuzaliwa kwa Mh. Mwandosya,aliyoiadhimisha jana huko kijijini kwake Lufilyo, Busokelo, Wilayani Rungwe
Picha zote kwa Hisani ya Michuzi Blog

No comments: