Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, November 3, 2014

SHEREHE YA KUMUAGA SEKELA MCHABA YAFANA JIJINI MBEYA

Bi Harusi mtarajiwa Sekela Simon Mchaba 

 Bwana harusi mtarajiwa akiwa na Bi Harusi mtarajiwa Sekela Simon Mchaba katika ukumbi wa Rehema jijini Mbeya

Bi Harusi mtarajiwa Sekela Simon Mchaba akiwa na mama yake mzazi

Picha ya pamoja na wapambe wake

Ndani ya ukumbi wa Rehema hongera kamati ya mapambo na burudani ukumbi ulipendeza

Wazazi wa Bi harusi mtarajiwa

Wazazi wa Bwana harusi mtarajiwa

Bi Harusi mtarajiwa Sekela Simon Mchaba akilishana keki na mpambe wake

Nswila  .O.A Mwenyekiti wakamati kuu ya sherehe ya kumuaga Sekela akifungua sherehe

Zawadi mbalimbali toka kwa waalikwa zilitolewa kwa Sekela

Na Mbeya yetu

No comments: