Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, October 28, 2014

TANGAZO TANGAZO NYUMBA ZA KUPANGISHA NA KUUZWA ZINAPATIKANA JIJINI MBEYABMW 13m , Harrier 14m, na Spacio ya 2001, 9m, zinauzwa zote , zipo  jijini Dar es salaam.
 Kwa mawasiliano wasiliana na bwana
Daniel Golden Ngumbuke
P.O Box 7636,
Dar Es Salaam.
Email: ngumbukeson@yahoo.com, Mob Phone: 0714-160222 / 0684-160222, au dada ZAMA 0754060350.
Nyumba yenye kila kitu ndani inapangishwa: ina vyumba vitatu vya kulala, sebule kubwa, jiko, chumba cha chakula, nyumba kubwa ya uani. Kwa ujumla nyumba hii ni nzuri sana: Kodi maelewano. Nyumba zenye kila kitu ndani kwa sasa ninazo nyingi.
Kwa mawasiliano wasiliana na bwana Benard Malasuka,  0714038851,0784442681, au dada ZAMA wa simu namba 0754060350
Nyumba inazuwa ipo Ituha Tshs. 30m. Ina vyumba vitatu vya kulala self contained, ina tiles, ina nyumba ya uani ambayo haikwisha.
Nyumba nyingi zinauzwa maeneo mbalimbali kwa bei tofauti. Nyumba inapangishwa: ina vyumba vitatu vya kulala, kila chumba kina choo ndani,  sebule kubwa, jiko, chumba cha chakula, nyumba kubwa ya uani. Kwa ujumla nyumba hii ni nzuri sana: Kodi maelewano; Endapo utapenda uwekewe furniture inawezekana kabisa

Kwa mawasiliano wasiliana na  dada ZAMA simu 0754060350.


Mashamba yanauzwa, yapo wilayani Mbozi, Songwe, Tukuyu na kwingineko, bei maelewano. Pia tuna viwanja maeneo mbalimbali, majengo kwa ajili ya matumizi ya ofisi, maghala, majengo kwa ajili ya uanzishwaji wa viwanda , Yadi, mahoteli yanayayouzwa,nyumba zilizopo barabarani, sheli zinazouzwa Magari aina mbalimbali, Kontena  nk. 


                                   ZAMA REAL ESTATES & ADVERTISEMENTS COMPANY

Deals with: Buying, Selling, Renting Houses, Car, Land, and Advertisements
P.O.BOX 1970, Mob: 255754060350, +255686957255. BlogSpot: matangazombeya.blogspot.com, Email:matangazom@gmail.com,
Mama John, Mbeya

No comments: