Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, August 26, 2014

TOCHI YA MBEYA YETU YAMULIKIA MITAA YA SAE , MWAMBENE NA ILOMBA JIJINI MBEYA

 Hii ni Barabara inayo anzia Sae kuelekea Mwambene, Wakazi wa eneo hili wanazingatia usafi 
 Hakuna Chembe ya takataka Mitaro kila kitu kipo sawa
 Usalama wa Barabarani umewekwa sawa kabisa kuna matuta ambayo hayawezi sababisha Gari likagonga chini hata kama likiwa fupi
 Haya ni Maeneo ya Mwambene 
 Hapa ni eneo mojawapo eneo la Mwambene ambapo Barabara hii ilikuwa ni korofi sana, sio kipindi cha masika wala cha ukame palikuwa hapapitiki lakini kwa sasa mambo safi kabisa inapitika vizuri.
 Ingawa Barabara imefika mpaka Mwambene kuna umuhimu wa hivi vibanda upande wa kushoto vikaondolewa na kuweka Maduka ambayo yatapendezesha mji.. Jiji hapo vipi?
 Hii ni Njia ya kuelekea Ilomba ukitokea Mwambene
 Moja ya Kona kali ambayo inatokea Ilomba kuelekea Mwambene 
 Haya maeneo ya Ilomba 
 Njia za wapita kwa miguu nazo zimeboreshwa
 Shughuli mbalimbali zikiwa zinaendelea 
 Hapa ni Makutano ya barabara inayoelekea Mwambene, Sae, Block Q na Ilomba 
Bajaji zikiwa zimekaa katika mpangilio tayari kwa safari eneo la Mwambene


Endelea kufuatilia Tochi yetu ya Mbeya yetu uone tutamulikia mitaa ipi

PICHA NA MBEYA YETU

2 comments:

Anonymous said...

Mbarikiwe mbeya yetu kwa kutuonyesha vizuri mji wetu

Anonymous said...

Nimelimiss jiji langu