Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, August 7, 2014

HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA WAPATA MUITIKIO MKUBWA KUTOKA KWA WANANCHI WENGI WAJITOKEZA KUJIONEA MENGI NDANI YA NANE NANE MBEYA


Kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Mh. Mussa Zungiza akiongea jambo na  Bi. Katitwa ambaye ni mtaalam wa Kilimo katika Banda lao la Jiji
Baadhi ya Watu wakipata mafunzo mbalimbali katika Banda la Jiji
Elimu Bure ya Kilimo Bora ikiendelea kutolewa
Muonekano wa Banda la Jiji kwa ndani
Wananchi mbalimbali wakiendelea kupata elimu mbalimbali katika Banda la Jiji.
Baadhi ya  vitu ambavyo vinauzwa ndani ya Banda Jiji Mbeya
Wataalam wa Ardhi na Mipango miji wakiendelea kutoa elimu kwa wananchi wanaopenda kujua juu ya mipango miji na Umiliki wa Ardhi
Wa kwanza kulia ni Justina Mwaisango ambaye alikuwa anatoa elimu Bora ya ardhi kwa moja ya watu waliofika kutembelea Banda la Jiji Mbeya 
Wa kwanza Kulia ni Javes Lyowa mtaalam wa maliasili akitoa maelezo ya kina Juu ya ujenzi bora na kutoa baadhi ya taratibu za ujenzi bila kuharibu maliasili.

Na Mbeya yetu

No comments: