Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, June 26, 2014

TUKIO KATIKA PICHA: MAZISHI YA MAREHEMU INJINIA EXON YOTHAM MWAKAJILA

Marehemu Unjinia Exon Yotham Mwakajila enzi za uhai wake.
Waombolezaji wakiwa Kanisani katika Ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu

 Watumishi wakiwa wanaaga Mwili 


 Wakiendelea kuaga Mwili wa Marehemu

Mwili wa Marehemu ukiwa unaingizwa katika KaburiShughuli ya Kutoa Mashada katika Kaburi la Marehemu

Na Mbeya yetu 

2 comments:

Anonymous said...

pole kwa wafiwa. tunaomba uteletee na matokeo.

Anonymous said...

mbona picha za mazishi ya katibu tawala ea Rungwe zinachelewa tulikua mbali tunaomba uziweke.