Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, June 2, 2014

WASHINDI WA FUA NA OMO UPAE KWENDA DUBAI WAPATIKANA MBEYAMeneja uhusiano wa Unilever Tanzania Limited, Nicholaus John (kushoto) akimkabidhi mshindi wa saba wa promosheni ya 'Fua Upae kwenda Dubai' Mwasiti Bilali mfano wa tiketi ya kwenda Dubai mara baada ya kuibuka mshindi katika droo iliyochezeshwa mwishoni mwa wiki kwa wakazi wa jijini la Mbeya wanaotumia sabuni ya Omo.Hafla fupi ya makabhiano ilifanyika Beaco Hotel Mbeya jana. Katikati ni Balozi wa Omo Tanzania, Mariam Migomba.


Meneja Mauzo Unilever Tanzania wa eneo la Mbeya Rajab Kondo (kushoto) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae', Marcko  j. Fihavango hundi fedha taslimu sh. 600,000 baada ya kununua sabuni ya Omo. Katikati ni Balozi wa Omo Tanzania, Mariamu Migomba.Hafla fupi ya makabidhiano ilifanyika Beaco Hotel  jijini Mbeya  jana.


Meneja Mauzo Unilever Tanzania wa eneo la Mbeya Rajab Kondo (kushoto) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae', Marcko  j. Fihavango fedha taslimu sh. 600,000 baada ya kununua sabuni ya Omo. Katikati ni Balozi wa Omo Tanzania, Mariamu Migomba.Hafla fupi ya makabidhiano ilifanyika Beaco Hotel  jijini Mbeya  jana.

Meneja uhusiano wa kampuni ya unilever Tanzania  Nicholaus John ametoa wito kwa wananchi na wateja wote wa mkoa wa Mbeya  kuichangamkia fursa hiyo ya kipekee na kuongeza kuwa zoezi hilo na promosheni hiyo ni la ukweli hivyo hawanabudi kuipokea kwa moyo wote kwani bado zawadi nyingi zitaendelea kutolewa kwa washindi huku kampuni hiyo ikijipanga zaidi kwa siku za baadaye kuja na promosheni nyingine tofauti tofauti zenye lengo la kurejesha shukurani kwa wateja.

Balozi wa Omo Tanzania, Mariamu akiongea na waandishi wa habari ambao hawapo pichani


Picha ya pamoja


Na Mbeya yetu

No comments: