| Wananchi wakielekea eneo la tukio kwa ajili ya kuuzima moto huo kabla kikosi cha zimamoto kufika |
| Changamoto kwa kikosi cha zimamoto mbeya mbali ya kuwahi eneo la tukio lakini mipira ya maji ni mibovu mipira hiyo ina matundu kibao |
| Moja ya gari lililookolwea na wananchi |
| Kikosi cha zimamoto kazini |
| Samani mbalimbali zimeteketea kwa moto |
| Madiwani wa kata ya manga kushoto Diwani viti maalumu Mary Malema na Daniel Mwakisyala wakiwa eneo la tukio |
| Faraja Damasi akipatiwa matibabu katika kituo cha afya Mwanjelwa baada ya kupata mstuko na kuzirai Picha na Ezekiel Kamanga Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment