Mfuko wa Pensheni
wa  PSPF unatangaza kwamba kutakuwa na Mkutano
Mkuu wa tatu wa wadau utakaofanyika tarehe 26 na 27  Februari 2014 kuanzia saa mbili na nusu asubuhi
hadi saa kumi jioni katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere uliopo
barabara ya Shaban Robert  jijini Dar es
salaam.
Madhumuni ya Mkutano huu ni kutoa taarifa ya hesabu ya
mwaka na utendaji wa Mfuko na kutathmini mafanikio na changamoto zinazokabili
Mfuko na sekta ya Hifadhi ya Jamii kwa ujumla.
“PSPF - TULIZO LA
WASTAAFU”
Mkurugenzi Mkuu
Mfuko wa Pensheni wa PSPF,
Makao Makuu,Golden
Jubilee Towers,  S.L.P 4843. Dar-es-Salaam. 
Simu: +255222120912/52 au +255222127375 /6
 Nukushi:
+255222120930
 Barua pepe:pspf@pspf.tz.org
 

 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment