Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Rais
mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi, akizindua huduma mpya
ya PSPF Pamoja nawe na PSPF call centre, itolewayo na mfuko wa Pensheni
wa PSPF, baada ya kufungua Mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo
Feb 26.2014.
Mgeni
rasmi Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Hassan Mwinyi, kushoto kwake
ni Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, kulia kwake ni Ndugu Peter Ilomo
aliyemwakilisha Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF George Yembesi,
Mkurugenzi Mkuu PSPF, Adam Mayingu na Katibu Mkuu MPAIC, John Haule
Wakurugenzi
wa idara mbalimbali za mfuko wa Pensheni wa PSPF, mstariu wa mbele,
wakiwa miongoni mwa wajumbe wanaohudhuria mkutano mkuu wa tatu wa wadau
wa mfuko huo kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa julius Nyerere
jijini Dar es Salaam Februari 26, 2014.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa PSPF, Neema Muro akijadili jambo na mmoja wa wadau wa PSPF
Usikivu
Naibu
Waziri wa Fedha, Adam Malima akimkaribisha Mgeni Rasmi Rais Mstaafu wa
Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi alipowasili kwenye ukumbi wa mikutano
wa Kimtaifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, kuhudhuria
mkutano mkuu wa tatu wa Mfuko wa PSPF wa wadau Februari 26.2014.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu (kushoto),
akimkaribisha Mgeni Rasmi Rais wa Mstaafu Ally Hassan Mwinyi kwenye
ukumbi wa mikutano wa Kimtaifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,
kuhudhuria mkutano mkuu wa tatu wa Mfuko wa PSPF wa wadau Februari
26.2014.
Kutoka kushoto ni Meneja wa Kitengo Mawasiliano ya simu, Fatma Elhadgy, Meneja wa Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF, Costantina Martin na Ephraim Kibonde
Mgeni rasmi Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ally Hassan Mwinyi akionyesha zawadi aliyopewa na PSPF, kushoto kwake ni Ndugu Peter Ilomo aliyemwakilisha Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF George
No comments:
Post a Comment