Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, February 13, 2014

Afisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya, William Bambanganya, anatoa wito kwa Watanzania wote walioomba kupewa hati za kusafiria(Pasport za Tanzania) kufika ofisini kwake kuzichukua

Afisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya, William Bambanganya


Afisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya, William Bambanganya, anatoa wito kwa Watanzania wote walioomba kupewa hati za kusafiria(Pasport za Tanzania) kufika ofisini kwake kuzichukua.

Amesema wasipochukua kwa muda uliotolewa zitarudishwa makao makuu ambapo mwombaji atatakiwa kuanza upya kuomba kutokana na hiyo ya awali kujulikana kama imepotea.

Ameyataja baadhi ya majina ya passpoti zilizokaa muda mrefu ofisini kwake bila kuchukuliwa na kwamba wenye nazo hawapatikani hata kwenye simu zao za mkononi kuwa ni;
1.Jonas Ngaban Hamalo
2.Twalibu Seleman Nyangasa
3.Zanya Wilson Legembo
4.Andrew Peter Pondo
5.Tadei Dominicus Pelela na
6. Christian Goden Makanyilo.


No comments: