Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, January 14, 2014

WANAFUNZI WA SHULE MBALIMBALI CHIMALA WAMEONEKANA JANA ASUBUHI WAKIENDA MASHULENI HUKU IKIWA IMETANGAZWA NI SIKU YA MAPUMZIKO.

Wanafunzi wakiwa wanaelekea shuleni mida ya saa moja kasoro asubuhi jana 
 Hawa nao wakiwa wanaenda shuleni asubuhi 
 Ilikuwa ni saa moja na dakika kama kumi ambapo wanafunzi hawa nao walikuwa wakijitahidi kuwahi shule.
 Wanaenda shule hawa jana.
 Hizi ni Shule mbalimbali ambapo wanafuzi bado wanaelekea mashuleni kwao

 Kila mmoja anawahi shule 

 Swali linakuja je hawa wanafunzi baada ya kufika Shule walirudishwa au waliendelea na masomo? Je katika eneo hilo watu hawasikilizi hata vyombo vya habari?

Picha zote na Mbeya yetu Blog

1 comment:

Anonymous said...

watanzania wengi hawapendi kusikiliza taarifa za habari wala kusoma habari kwenye magazeti zaidi ya habari za mpira na bongo fleva, huu ndio utamaduni wetu mpya ndiyo sababu kubwa inayopelekea habari nyingi za uzushi kwenye mitandao na simu.