Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, January 22, 2014

HATIMAYE SAFARI YA KUMRUDISHA MAMA ALIYEJIFUNGUA WATOTO WA NNE NYUMBANI KWAO IMEANZA, IKIONGOZWA NA TIMU YA MBEYA YETU BLOG.

 Mama wa watoto wa Nne wa tatu kutoka kushoto akiwa pamoja na wauguzi ambao wamebeba watoto wakimuaga katika Hospitali ya Meta Jijini Mbeya mapema asubuhi ya leo.
 Baadhi ya Mizigo ikiwa inapandishwa katika Gari pamoja na Watoto hao wa nne.

Picha zote na Mbeya yetu Blog

Endelea kufuatilia Safari hii ambapo Mbeya yetu Blog wapo moja kwa  moja kumrejesha Mama huyo .

No comments: