Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, January 24, 2014

BREAKING NEWSS! MWALIMU MKUU ANAYETUHUMIWA KUMLAWITI MWANAFUNZI YATIMA AKAMATWA USIKU HUU !



Mwalimu mkuu anaetuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wake ambae ni yatima akamatwa usiku huu baada ya mbeya yetu blog kutoa habari hiyo kwa kina mapema leo,  kikosi kazi Cha Mbeya yetu kinaendelea kufuatilia habari hii kwa ukaribu na tutawaletea tukio zima hapa hapa.

Endelea kufuatilia
Picha na Mbeya yetu

No comments: