Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, January 7, 2014

ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO MBEYA APOKEA MISAADA TOKA KWA WASAMARIA WEMA


Joseph Mwaisango wa Mbeya yetu akiwasilisha msaada wa pesa na nguo toka kwa wasamaria wema akina Yassin Kapuya , Hassan Othmani toka Zanzibar Mwandishi mwenzetu Othman Michuzi na  Pendo Fundisha 


Aida Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne  mapacha kwa mpigo akiwashukuru wote waliomsaidia na wanaondelea kumsaidia kwa misaada mbalimbali kwa ajili ya watoto wake hao asema hana cha kuwalipa mungu mwenyewe ndiyo atawalipa asanteni sana

Baadhi ya waandishi wa habari waliomtembelea mama huyo na kuwasilisha michango toka wa wadau mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja

Namba ya simu ya mama huyo tutaitoa kesho kwani sasa tunamshugulikia kupata namba yake ya simu maana hana kitambulisho chochote tunawasiliana na kijiji alikotoka watupatie barua ya kupeleaka katika makampuni ya simu asajiriwe

Na Mbeya yetu

No comments: