Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, December 19, 2013

UPANDAJI NYASI KATIKA KIWANJA CHA WA KUMBUKUMBU YA SOKOINE JIJINI MBEYA WAENDELEA KWA KASI NDOGO


HII NI HALI YA UWANJA WIKI ILIYOPITA 


WATAALAMU WA KICHINA WAKIJADILIANA JAMBO FULANI KUHUSU UWANJA HUO
MWALUKA MENEJA WA UWANJA WA SOKOINE AKIONYESHA MAJANI YATAKAYOPANDWA UWANJANI HAPO


MWALUKA MENEJA WA UWANJA WA SOKOINE AKIELEZEA JINSI ZOEZI LA UAPANDAJI NYASI UNAVYOENDELEA NA KUAHIDI KUWA ZOEZI HILO LA UPANDAJI NYASI LITAMALIZIKA BAADA YA WIKI MBILI ZIJAZO

SINGUNDALI AFISA UTAMADUNI WILAYA YA MBEYA  

HII NDIYO HALI HALISI YA UWANJA WASOKOINE KWA SASA NYASI ZINAENDELEA KUPANDWA
PICHA NA MBEYA YETU 

No comments: