Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, December 20, 2013

Mkutano na waandishi wa habari wa Mbeya na Kamati ya Maudhui ya TCRA. Kamati iko katika ziara ya kukagua vituo vya radio.

Mwenyekiti  kamati ya Maudhui Eng. Margaret Munyagi, akiongea na baadhi ya waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya
 Makamu mwenyekiti kamati ya maudhui  Walter Bugoya,  akijibu moja ya mwaswali yalioulizwa na waandishi wa habari
Mjumbe mzee Ngarawa 

Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Kanda ya Mbeya Mhandisi Deogratius Moyo akizungumza machache ziara ya kamati hiyo ya maudhui
George Chanda mwandishi wa habari akichangia mada katika kamati hiyo
Baadhi ya waandishi wa habari waliokutana na kamati hiyo ya maudhui
Picha ya pamoja


Na Mbeya yetu

No comments: