Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, December 15, 2013

MAHAFALI YA KWANZA YA CHUO KIKUU CHA SAYANZI NA TEKNOLOJIA MBEYA YAFANA


Lango kuu la chuo kikuu cha sayansi na Teknolojia Mbeya

Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akipata maelezo mafup toka kwa Mhadhiri msaidizi Phesto Namanyala  jinsi kitengo cha Computer Engineering kinavyofanya kazi ya kutoa elimu chuoni hapo 

Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akiapatamaelezo toka kwa Samwel Kihogo wa kitengo cha maabara ya udongo na upimaji wa ardhi 


Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akipatiwa maelezo na mkuu wa kitengo cha umeme Joseph Matwani njinzi wanavyotoa mafunzo ya umeme chuoni hapo

Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa pia alitembelea banda la usanifu majengo hapa waziri akipata maelezo mafupi toka kwa Mhadhiri msaidizi Israel Mayall


Maandamano ya kuelekea ukumbini


Ndani ya ukumbi wa Nyerere


Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa KWA MAMLAKA NILIYOPEWA NATANGAZA KWAMBA MAHAFALI YA KWANZA YA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOGIA MBEYA YAMEFUNGULIWA RASMI

Kaimu makamu mkuu wa chuo kikuu  cha Sayanzi na Teknologia Mbeya Joseph Msambichaka akisoma taarifa fupi ya chuo hicho

Mwenyekiti wa Baraza la chuo Prof Penina Mlamav  akimkaribisha mgeni Rasmi

Naibu kaimu makamu  mkuu wa chuo na taaluma Dkt Mbonde

Mwakilishi wa wanafunzi Frank Mnyanyi akisoma risala kwa niaba ya wahitimu wenzake

Baadhi ya watumishi wa chuo hicho akipeana mikakati ya kufanikisha mahafali hiyo



Wageni waalikwa


Wahitimu wakikabidhiwa vyeti

Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akimpa hongera mwanafunzi bora Lilian Kawala

Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa ametoa zawadi kwa Lilian kawala  kwenda kusoma nje ya nchi kwa kuwa manafunzi bora wakike chuoni hapo

Lilian kawala akilia kwa furaha baada ya waziri kumptia zawdi hiyo


Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akivunja rasmi mahafali ya chuo kikuu cha sayansi na Teknolojia Mbeya

Picha na Mbeya yetu

No comments: