Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, November 8, 2013

MBEYA CITY FC YATOKA NGUVU SAWA NA AZAM FC KWA MAGOLI 3-3 Wachezaji wa Mbeya City wakifanya mazoezi mepesi kabla ya kuanza kwa mchezo wao dhidi ya Azam FC. 


 Wachezaji Mbeya City wakifanya mazoezi mepesi kabla ya kuanza kwa mchezo wao dhidi ya Azam FC.
 Mashabiki wakiwa katika misururu mirefu kuingia uwanjani kushuhudia pambano la Azam na Mbeya City kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam. 
 Golikipa wa Mbeya City akiokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Azam FC unaoendelea kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam.
 Mashabiki wa Mbeya City.

(Picha na Francis Dande)
Michuzi Blog

No comments: