Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, November 1, 2013

BREAKING NEWS: MAHAKAMA YA MWANZO IMEWAHUKUMU KIFUNGO MIEZI 12 AU FAINI YA TSH.300,000 KILA MMOJA WATU 5 KATI YA SITA WALISHITAKIWA KUHARIBU MALI KATIKA MECHI KATI YA MBEYA CITY FC NA PRISONS



MAHAKAMA ya mwanzo, mjini Mbeya, imewahukumu kifungo cha miezi 12 kwenda jela au kulipa faini ya sh.300,000 kila mmoja, watu watano kati ya sita walioshitakiwa kwa kosa la kuharibu mali katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Mbeya city na Tanzania Prisons.  Habari kamili inakuja...
Na Mbeya yetu

1 comment:

Unknown said...

ulumbukeni wa ushabiki umewaponza wakajifunze nidham matoi aoo