Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, October 2, 2013

LIVE ! HALI YA VURUGU INAELEKEA KWISHA SASA JIJINI MBEYA NI BAADA YA POLISI KUWEKA ULINZI MKALI, KIKAO BAINA YA SERIKALI NA WAFANYABIASHARA KUFANYIKA MCHANA WA LEO.

Polisi wakiwa wanasindikiza gari la matangazo ambalo lilikuwa likitangaza kuomba Vurugu hizo na maandamano yasiyo Rasmi yasimamishwe 
Ulinzi ukiwa unazidi kuongezeka kama inavyo onekana pichani Muda huu...

Taarifa za awali zinasema kwamba kuna mkutano wa Ghafla umeandaliwa hapo saa nane mchana ambapo wafanya biashara pamoja na wahusika kutoka Serikalini watakutana ili kujadili suala hilo la Mashine hizo. 

Endelea kufuatilia nini kitazungumzwa hapo.. Timu nzima ya Mbeya yetu Live tutakuwa eneo la tukio kukujuza hatua baada ya hatua....

No comments: