Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, October 11, 2013

KANDORO AFUNGUA MAFUNZO KWA WANAHABARI WA NYANDA ZA JUU KUSINI NAMNA YA KURIPOTI HABARI ZA UNYANYASAJI WA KIJINSIA (GBV)

Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akifungua mafunzo ya siku nne kwa waandishi wa habari wanyanda za juu kusini ya namna ya kuripoti habari za unyanyasaji wa kijinsia mafunzo hayo yanatolewa na chama cha waandishi wa habari Wanawake (TAMWA) 
Martha Ngwila mwezeshaji toka TAMWA  akimwelezea mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro  jinsi wanahabari watakavyo pata mafunzo hayo
Wanahabari wakiwa makini kumsikiliza mkuu wa mkoa Mbeya
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) kinatoa mafunzo kwa wanahabari zaidi ya 20, wa nyanda za juu kusini ambao wanaandaliwa kwa lengo la kuripoti habari za unyanyasaji wa kijinsia (GBV) 

Wanahabari hao watapata mafunzo hayo ikiwa ni hatua ya kuandaa kundi maalumu la wanahabari ambalo litakuwa likiripoti kwa kina habari dhidi ya vitendo vya kikatili kwa wanawake na wasichana ambao ndio waathiriwa wakubwa wa vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Jesse Kwayu mwezeshaji katika mafunzo hayo
Picha ya pamoja

No comments: