Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, September 5, 2013

MASHINDANO YA SAFARI LAGEL POOL NGAZI YA MKOA YAZINDULIWA MBEYA

Wacheza pool mkoa wa Mbeya wakijiandaa kwa maandamano ya uzinduzi wamashindano ya safari lager pool


Meza kuu wakiwapokea wachezaji poo wa mkoa wa Mbeya

Wacheza pool wa mkoa wa Mbeya wakisalimiana na meza kuu klba ya uzinduzi wa mashindano ya pool mkoa wa Mbeya

Michael Machela afisa habari Bia safari akiwatambulisha meza kuu

Mwenyekiti pooltable mkoa wa Mbeya Samwel Aron njinsi mkoa wa mbeya ulivyojiandaa katika mashindano hayo ya pool

Wachezaji pool mkoa wa Mbeya wakiwa makini kusikiliza mgeni rasmi

Meneja matukio TBL kanda ya nyanda za juu kusini Geofrey Mwangungulu akizungumza na wacheza pool mkoa wa Mbeya



Afisa michezo mkoani hapa George Mbijima  ambaye ndiye mgeni rasmi aliyezindua mashindano hayo ya pool mkoa wa Mbeya

Afisa michezo mkoani hapa George Mbijima akizindua michuano ya safari lager pool ngazi ya mkoa wa Mbeya katika kiwanja cha Airport pub jijini Mbeya

 picha na Mbeya yetu

No comments: