Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, August 7, 2013

MFUKO WA PENSHENI KWA WAFANYAKAZI WA UMMA (PSPF) WAENDELEA VEMA KATIKA MAONESHO YA NANE NANE MBEYA

 Watu Mbalimbali wakipata Huduma katika Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma (PSPF) 
 Bi.  Hidaya Dodo akitoa ufafanuzi wa jambo kwa mmoja ya watumishi wa Serikali aliyetembelea katika banda hilo. wa kwanza kulia ni Bwana Erick Kato
 Bi Hidaya Dodo akiendelea na Ufafanuzi wa jambo
 Bwana Erick Kato akisisitiza jambo kwa watu waliotembelea Banda lao

 Mmoja ya watu waliotembelea katika Banda la PSPF akiuliza jambo kutoka katika  Banda la PSPF Nane nane Mbeya 
Usikose kutembelea Banda la PSPF katika viwanja vya Nane nane Mbeya


No comments: