| MARA BAADA YA MECHI KWISHA TIMU ZILIJIPANGA KUPOKEA ZAWADI ZAO |
| KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA DIWANI ATHUMANI – ACP AKIONGEA WANAMICHEZO KABLA YA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI WA KOMBE LA POLISI JAMII |
| MCHEZAJI BORA TOKA TIMU YA MADEREVA TAX IYUNGA AKIKABIDHIWA ZAWADI YA MPIRA NA KAMADA WA POLISI MKOA WA MBEYA DIWANI |
| WASHINDI WA TATU TIMU YA MADEREVA TAX TOKA ILOMBA WAKIKABIDHIWA ZAWADI YAO YA SH LAKI MOJA TOKA KWA MGENI RASMI |
| MSHINDI WA PILI TIMU YA MADEREVA TAX TOKA MAFIATI AKIKABIDHIWA ZAWADI YA SH LAKI MBILI TOKA KWA MGENI RASMI |
| MSHINDI WA KWANZA TOKA TIMU YA MADEREVA TAX TOKA STENDI KUU YA MABASI WAKIKABIDHIWA KOMBE NA PESA TASLIMU YA SH LAKI TATU |
PICHA NA MBEYA YETU |
No comments:
Post a Comment