Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, August 19, 2013

kiongozi mkuu wa Ahmadiyya nchini Tahir Mahmood Chaudhry awasili jijini Mbeya

Mwenyeji wa Amir -Mahmood, Missionary wa Kanda ya nyanda za juu kusini Basharat Rahman akimpokea mkeni wake katika kiwanja cha ndege Songe mkoani Mbeya 


Amir-Jamaat Ahmadiyya Tanzania, Tahir Mahmood Chaudhry akisalimiana na waumini wake waliokuja kumpokea katika kiwanja cha ndege songwe Mbeya 


Mara baada ya kupokewa mgeni huyo alipata mud wa kuongea na waandishi wa habari wa mkoa wa mbeya katika ukumbi wa Mbeya Hotel jijini Mbeya


Abdulrahman Mohamed  katibu wa ziada akimkaribisha mgeni rasmi kuongea na wanahabari wa mkoa wa Mbeya

Amir-Jamaat Ahmadiyya Tanzania, Tahir Mahmood Chaudhry akiongea na waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya juu ya ujio wake wa kuwa na mkutano wa amani jijini mbeya utakaofanyika kesho


Baadhi ya waumini wa jumuiyawahamadia na waandishi wa habari wakimsikiliza kiongozi huyo


Rashid Mkwinda mwandishi wa habari akimuuliza swali kiongozi huyo wa waahamadia

Picha na Mbeya yetu

No comments: