Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, August 3, 2013

LIVE SIKU YA 3 NANE NANE: MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA AKITEMBELEA MABANDA MBALIMBALI YA NANE NANE MBEYA

MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA AKIWA KATIKA BANDA LA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOROJIA MBEYA.


MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA AKIPATA MAELEZO KATIKA BAADHI YA VIFAA NDANI YA BANDA HILO

MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA AKIFURAHIA JAMBO KATIKA BANDA HILO
MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA AKITAZAMA RAMANI ZA NYUMBA
BANDA LA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA

MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA AKITAZAMA MAELEKEZO NDANI YA BANDA HILO
MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA  AKITAZAMA GARI AMBALO LINATUMIA GESI
MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA  AKIPOKEA MAELEKEZO YA JINSI GARI HILO LINAVYOFANYA KAZI
HILI NDILO  GARI LINALOTUMIA GESI
MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA AKITEMBELEA ENEO LA UMWAGILIAJI
MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA AKIELEKEA KATIKA ENEO  LA UMWAGILIAJI
HILI NI ENEO LA UMWAGILIAJI

MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA  AKIZUNGUMZA JAMBO
 MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA  AKITAZAMA SHUGHULI ZA UMWAGILIAJI.
***************** 
MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA  AKITEMBELEA BANDA LA VETA

MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA  AKITAZAMA BIDHAA MBALIMBALI ZINAZOTENGENEZWA NA VETA 
*********** 
MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA  AKITEMBELEA BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA NKASI
 
 BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA NKASIWADAU WAKITAZAMA MABANDA YA NKASI MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA AKITAZAMA BIDHAA MBALIMBALI

 BAADHI YA MAZAO KATIKA BANDA HILO LA  NKASI

MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA  AKITAZAMA KIKUNDI CHA BANADETHA KIPENDA  KIKUNDI CHA UPENDO 

*******************

MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA  AKITEMBELEA BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA   YA SUMBAWANGA  
BANDA LA HALMASHAURI YA SUMBAWANGA
MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA AKIPOKELEWA KATIKA BANDA LA SUMBAWANGA
MAZAO MBALIMBALI
MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA AKITAZAMA MAZAO MBALIMBALI

************
MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA ATEMBELEA BANDA LA MAMLAKA YA MAWASILIANO (TCRA)
 BANDA LA TCRA
 Mwanasayansi wa masafa Peter Kihogo  kushoto pamoja na wafanyakazi wengine wa TCRA wakitoa maelekezo kwa watu waliotembelea Banda hilo.

 Mwanasayansi wa masafa Peter Kihogo kushoto akitoa maelezo kwa Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh.Eng Stella M. Manyanya 

**************
MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA  AKITEMBELEA BANDA LA MAMLAKA YA HALI YA HEWA
 Banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa
  Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh.Eng Stella M. Manyanya akipata  maelezo kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa
******************
MKUU WA MKOA WA RUKWA MH. ENG. STELLA M. MANYANYA KATIKA KIKAO CHA MAJUMUISHO

 Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh.Eng Stella M. Manyanya akiongea na Waandishi wa habari, Viongozi wa TASO pamoja na watumishi wa Serikali.
 Meneja wa Uwanja Mzee Kasilati akitoa maelezo mafupi kwa mgeni Rasmi 
 Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Methew Sedoyyeka akitoa taatifa ya majumuisho ya Mabanda aliyo Tembelea


PICHA NA MBEYA YETU

No comments: