| Mgeni rasmi akipokea maandamano |
| Mkurugenzi wa shirika la Watel reed kanda ya nyanda za juu kusini Cmeron Garrette akielezea umuhimu wa mradi huo kwa wananchi waliojitokeza katika uzinduzi huo |
| Meneja mradi wotel reed Hijja Wazee akisoma risala mbele ya mgeni rasmi |
| Burudani mbali mbali zilikuwepo katika uwanja wa Ruanda Nzovwe |
| Washindi wa mpira wa miguu timu ya Mwambene wakikabidhiwa kombe na mgeni rasmi baada ya kuishinda timu ya Nonde katika uzinduzi huo |
| Mshindi wa kufukuza kuku akipewa mkono wa hongera na mgeni rami michezo mbali mbali ilikuwepo uwanjani hapo |
Picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment