Hapa ndipo barabara ilipo ishia eneo la Ituha
Hiki ni kituo cha Mabasi kilichopo Ituha |
Haya ni maeneo ya Ituha
Hiki ni kituo kidogo cha Bodaboda pamoja na Bajaji eneo la Ituha
Baadhi ya Maduka yakiwa yameanza kujengwa pembezoni mwa barabara
Hii moja ya kona ambayo ni hatari , ni ya mwisho kuelekea Ituha
Huu ni upande wa barabara wa Ituha
Eneo hili ndilo mpaka kati ya Sae na Ituha
Hili ni eneo ambalo liliwatesa sana wakazi wanaoishi maeneo haya kwa kuwa barabara ilikuwa mbaya sana na kusababisha magari mengi kukwama na hata kulala kama kumekosekana msada. Lakini kwa sasa eneo hilo lipo safi
Hiki ni kituo cha Mabasi cha Sae
Hii ni moja ya kona ya hatari ambayo ipo muundo wa S ambayo imesababisha ajali kwa baadhi ya Bodaboda ambazo zinakwenda mwendo wa kasi
Hii ndio njia ya kuingilia kuelekea Ituha
2 comments:
Nkamugwangu,unatufanya wenzio tutoe machozi unapotuonyesha picha za Home kabisaa SAE. Mwe mma ulimundu fiijo nkamu gwangu. Kyala akutulege fiijo, hasa unapotoa habari za wasiojiweza kama ulivyotoa habari ya mtoto aliyewekwa ndani kwa miaka miwili bila msaada. Mungu akubariki sana. Tutakuja, tutaongea zaidi.Kazi njema.
nafurahi kulijua jiji langu la mbeya .mnafanya vizuri ,big up 2u
Post a Comment