Mfadhiri wa ligi ya mpira wa miguu Mwakisu Cup Nwaka Mwakisu wa kwanza kushoto akisalimiana na mgeni Rasmi wa fainali ya ligi hiyo Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Barakael Masaki
Mgeni Rasmi wa fainali ya ligi hiyo Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Barakael Masakiakikagua timu
Mpambano ukiendelea kati ya Ghana FC na Terminal FC ambapo Terminal waliibuka washindi kwa goli moja bila
Wageni waalikwa wakifuatilia mpambano
Mratibu wa ligi hiyo David Mwakalinga akizungumza jambo baada ya michuano kukamilika
Katibu Mkuu wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mbeya (MREFA) Haroub akizungumza na mashabiki wa mpira waliofurikaa uwanjani
Mfadhiri wa ligi ya mpira wa miguu Mwakisu Cup Nwaka Mwakisu akifafanua jambo baada ya kukamilika kwa ligi hiyo
Mpira wa Pete haujasahaulika Mdau kutoka AJIM Ent.Ltd akitoa msaada wa magoli katika uwanja wa Shule ya Msingi Mbata.
Mgeni Rasmi wa fainali ya ligi hiyo Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Barakael Masaki akitoa neno kwa mashabiki na wapenzi wa mpira wa miguu waliofurika siku ya fainali hizo.
Mgeni Rasmi wa fainali ya ligi hiyo Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Barakael Masaki akimkabidhi kitita cha Shilingi Milion Mbili nahodha wa timu ya Terminal walioibuka wa washindi wa kuanza
Mgeni Rasmi wa fainali ya ligi hiyo Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Barakael Masaki akimkabidhi kitita cha shilingi milioni Moja nahodha wa timu ya Ghana wealioibuka washindi wa pili
Mgeni Rasmi wa fainali ya ligi hiyo Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Barakael Masaki akimkabidhi Kombe kwa ajili ya washindi wa kwanza ambao ni Terminal Fc ya Stendi kuu Jijini Mbeya
Mashabiki mbali mbali wakifuatilia mpambano huo
Kabumbu ikiendelea
Wanahabari nao hawakuwa mbali kufuatilia ligi hiyo huku Mfadhili akibadilishana nao mawili matatu
Penye wengi hapakosi vituko ndivyo alivyoonekana jamaa huyu akiwa na Kunguru
Hata watoto wamo katika ushabiki wa mpira wa miguu.
PICHA NA MBEYA YETU BLOG.
No comments:
Post a Comment