Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, July 9, 2013

HATARIII KIWIRA WILAYANI RUNGWE WATUMIA MIKOKOTENI KUSAFIRISHIA NYAMA ILIYOTOKA MACHINJIONI

HUU NI MKOKOTENI UNAOTUMIKA KUSAFIRISHA NYAMA YA MIFUGO MBALIMBALI ILIYOCHINJWA MACHINJIONI NA KUPELEKWA KWENYE MABUCHA YA KUUZIA NYAMA KIWIRA WILAYANI RUNGWE
HII NDIYO HALI HALISI NA MIKOKOTENI HII NDIYO INAYOTUMIKA KUBEBA MIZIGO MBALIMBALI YA WATEJA IKIWEMO MBOLEA KWA AJILI YA MATUMIZI YA MASHAMBANI
WAHUSIKA MNALIONA HILI? 
WATEJA WAKINUNUA NYAMA 


PICHA NA MBEYA YETU

1 comment:

Anonymous said...

mmmh jamani mbona sie watanzania hatuendeli,yaani hatulindi kabisa afya za watu kwani twajua kutengeneza hpesa tuu.hebu angalieni jinsi nyama zinavyo safiriswa,yaani zasafiliswa katika mazingila machafu sana.Pili wasafilishaji hawatumii vifa maarumu katika usafilishajina tatu wanabeba kwenye mabega hilo sio mbaya..lakini je!wamevaa nguo maalumu za kutendea kazi?jibu hapana..wanabeba katika nguo chafu zinukazo jasho..kweli wanalinda afya za wateja wao kweli.wako wapi bwana afya?kwani those pple should held responsible for letting butchers being operating on unhygienic conditions..its real too sad to see that.