TANGAZO
Nafasi za
kazi katika Kampuni ya masuala ya mitandao
Sifa/Vigezo:
1.
Elimu
ya kidato cha Nne, Sita, Certificate yeyote, diploma au zaidi.
2.
Taaluma
za uandishi wa habari, Graphics Designing au Computer course na Marketing ni
added advantages lakini SI ZA LAZIMA.
3.
Uwezo,
ufahamu, utundu, uzoefu na ujuzi katika matumizi ya Mitandao ya kijamii (social
media) kama Facebook, Twitter, E-mails, Blogging, Pinterest etc ndio kigezo kikuu.
4.
Uchapakazi,
kujituma, ubunifu(creativity) katika masuala ya kijamii ni vigezo muhimu.
5.
Ufahamu
wa masuala ya matangazo ya mitandaoni (online advertisement) ni added
advantage.
Maombi:
Unaweza kuomba kupitia njia moja kati ya hizi (njia ya kwanza
inapewa kipaumbele):
1. Tuma maombi yako na viambatanisho vya vyeti kwenda kwenye email
hii: mbeyacity@gmail.com
2. Fikisha maombi yako na viambatanisho vya vyeti katika ofisi
zetu zilizopo kati ya SAE na ILOMBA zinazoitazama barabara ya tunduma (mkabala
na MASHOKO BAR)
No comments:
Post a Comment