Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, June 17, 2013

TANGAZO LA KAZI : KUTOKA KAMPUNI YA JIGAMBE TECHNOLOGY WAHI SASA.



TANGAZO

Nafasi za kazi katika Kampuni ya masuala ya mitandao

Sifa/Vigezo:
1.    Elimu ya kidato cha Nne, Sita, Certificate yeyote, diploma au zaidi.
2.    Taaluma za uandishi wa habari, Graphics Designing au Computer course na Marketing ni added advantages lakini SI ZA LAZIMA.
3.    Uwezo, ufahamu, utundu, uzoefu na ujuzi katika matumizi ya Mitandao ya kijamii (social media) kama Facebook, Twitter, E-mails, Blogging, Pinterest etc ndio kigezo kikuu.
4.    Uchapakazi, kujituma, ubunifu(creativity) katika masuala ya kijamii ni vigezo muhimu.
5.    Ufahamu wa masuala ya matangazo ya mitandaoni (online advertisement) ni added advantage.
Maombi:
Unaweza kuomba kupitia njia moja kati ya hizi (njia ya kwanza inapewa kipaumbele):

1. Tuma maombi yako na viambatanisho vya vyeti kwenda kwenye email hii: mbeyacity@gmail.com
2. Fikisha maombi yako na viambatanisho vya vyeti katika ofisi zetu zilizopo kati ya SAE na ILOMBA zinazoitazama barabara ya tunduma (mkabala na MASHOKO BAR)

No comments: