Mzee Adrew Mwadende 65 moja ya washiri wazee katika maadhimisho hayo ya siku ya olimpiki Duniani |
Richard Makombe mshindi wa kwanza wa mbio za kilometa tano akielezea siri ya ushindi wake kuwa ni mazoezi na anapenda sana mchezo wa kukimbia |
Jackson Isambi mshindi wa tatu akiwa na mapacha walioshinda nafasi ya kwanza na yapili katika mashindano ya kilometa tano ya siku ya maadhimisho ya olimpiki Duniani |
Mgeni rasmi katibu tawala msaidizi mkoa wa Mbeya Dr Philipo Mwaisobwa akimpongeza mtoto Michael Obel na kumpatia zawadi pamoja na cheti cha kushiriki maadhimisho ya siku ya olimpiki Duniani |
Mgeni rasmi katibu tawala msaidizi mkoa wa Mbeya Dr Philipo Mwaisobwa akimpongeza Adrew Mwadende 65 kwakuwa mzee pekee kushiriki katika mbio za maadhimisho ya siku ya olimpiki duniani |
Wenda high school iliopo mbalizi nao walishiriki katika maadhimisho hayo Picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment