Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, June 29, 2013

AIBU JIJINI MBEYA: HALI YA UCHAFU WA VIBANDA ZAIDI YA 200 V ILIVYO ZAGAA KUANZIA KABWE MPAKA MAFIATI. JE JIJI MNALIONA HILI?



 BAADHI YA BIASHARA ZIKIENDELEA PEMBEZONI MWA  BARABARA ENEO LA KABWE







 BAADHI YA WATU WAKIENDELEA KUCHAFUA JIJI KWA KUONGEZA VIBANDA BILA MPANGILIO


 LICHA YA VIBANDA HIVI KUWEPO LAKINI KUNA BIASHARA HARAMU ZINAENDELEA KUFANYIKA



 BAADHI YA VIBANDA V IKIWA PEMBEZONI MWA BARABARA NA KUIFANYA HALI YA JIJI KUWA CHAFU



*************************


PICHA ZOTE NA MBEYA YETU 

1 comment:

ray njau said...

Usafi na udumishaji wa mazingira ndiyo changamoto namba moja kwa mamlaka za serikali za mitaa nchini Tanzania.