Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, May 20, 2013

WATU WA MBEYA HAWAKOMI: SHUHUDIA WANANCHI WA MLIMA NYOKA MBEYA WALIVYO GOMBANIA MAFUTA BAADA YA GARI LA MAFUTA KAMPUNI YA LAKE OIL KUPINDUKA

 WAKAZI WA MLIMA NYOKA MKOANI MBEYA WAKIWA NA PILIKA KUELEKEA KUCHOTA MAFUTA BAADA YA GARI HILO KUPINDUKA.
 SHUHUDIA WAKAZI WA MLIMA NYOKA WAKIWA WANAGOMBANIA MAFUTA
 GARI LA KAMPUNI YA LAKE OIL BAADA YA KUPINDUKA

 KILA MKAZI YUPO BIZE NA MAFUTA







 PICHA NA MBEYA YETU

2 comments:

Anonymous said...

kweli watanzania elimu bado inahitajika sana,cjui ni umaskini au,wengine na watoto mgongoni kwa nini usimuache mtoto uende peke yako ili hata likitokea la kutokea ufe peke yako?

Anonymous said...

Wakome nini? Wakati maisha magumu bora ufe ukiwa unatafuta .