Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, May 6, 2013

MAHAFARI YA WALIMU NGAZI YA CHETI YAFANA CHUO CHA UALIMU MPUGUSO TUKUYU MBEYA WAHITIMU NGAZI YA CHETI 544 WAHITIMU

MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIONGEA NA WANACHUO NA WAZAZI HUKU AKIWATAKA WALIMU WALIO MALIZA KUKUBARI KUFUNDISHA VIJIJINI MAANA WALIMU WALIOWENGI WAKIPANGIWA VIJIJINI HUWA WANAACHA KAZI HIVYO AMEWATAKA WAHITIMU KUWA WAZALENDO NA KUONGEZA UADIRIFU KWA KUTOA ELIMU BORA KWA WATOTO WA KITANZANIA ILI ELIMU ISONGE MBELE KWA MANUFAA YA TAIFA
MKUU WA CHUO CHA UALIMU MPUGUSO DOROTHY MHAIKI AKIONGEA NA WANACHUO PAMOJA NA WAZAZI WALIOHUDHURIA MAHAFARI HAYA HUKU AKIWATAKA WANACHUO KUWA  MABAROZI WAKUTENDA MEMA KUFANYIA KAZI ELIMU WALIO IPATA HAPA CHUONI WAKAKITENDEE KATIKA JAMII NA HASA KUINUA ELIMU YA TANZANIA
MWENYEKITI WA BODI YA CHUO MZEE MKISI AKIONGEA NA WANACHUO NA WAZAZI HUKU AKIWATAKIA KILA LA HERI WAHITIMU KWENDA KWENYE JAMII NA KUWAHUDUMIA WATOTO KAMA WALIVYOFUNDISHWA CHUONI HAPO KUZINGATIA MAADIRI NA UPENDO KWA WATOTO
AFISA UHUSIANO WA LULU MENGELE AKIONGEA NA JUMUIYA YA WAFANYAKAZI WAZAZI NA WANACHUO KATIKA MAHAFARI YA CHUO CHA UALIMU MPUGUSO TUKUYU NA KUONGEA MAMBO MENGI NA FAIDA ZINAZOPATIKANA BAADA YA KUWA MWANACHAMA WA PPF
MKUU WA CHUO CHA MPUGUSO KULIA KATIKATI MKUU WA WILAYA CHRISPIN MEELA NA ANAYE FUATA NI MWENYEKITI WA BODI YA CHUO MPUGUSO       MZEE MKISI

WADAU WA ELIMU NA WAPILI KUTOKA KUSHOTO MBELE NI MKUU WA CHUO CHA UALIMU TUKUYU MATHIAS MVULA

BAADHI YA WANACHUO WALIOHITIMU CHUO CHA UALIMU MPUGUSO TUKUYU

Kwa hisani ya  blog ya kingo Tanzania

No comments: