Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, April 29, 2013

Ziara ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Mbeya Mjini walipotembelea kukagua Miradi ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM iliyochini ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya


Ziara ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Mbeya Mjini walipotembelea kukagua Miradi ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM iliyochini ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya hivi karibuni. Tuliambatana na Injinia wa Jiji pamoja na wataalamu wengine.......hakika kuna Changamoto kubwa sana hasa kwa Mkurugenzi wa Jiji katika usimamizi wa Miradi mbalimbali kwani kuna mingine ipo chini ya Kiwango hasa madaraja na barabara pia kuna ufujaji wa fedha za umma katika Matumizi.


                                     picha kwa hisani ya Junior Matukuta
                         

No comments: