| WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAISI PROFESA MARK MWANDOSYA AKIWA NA MKEWE LUCY MWANDOSYA WAKIJIANDAA KUMPOKEA RAISI KIKWETE. |
| VIONGOZI MBALIMBALI WA MADHEHEBU YA DINI PIA HAWAKUWA MBALI KATIKA MAPOKEZI YA MHESHIMIWA RAISI KIKWETE. |
| WANANCHI WAKIMSUBIRI MHESHIMIWA RAISI KIKWETE NJE YA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA SONGWE MKOANI MBEYA. |
| VIJANA WA CHAMA CHA WAENDESHA BAJAJI JIJI LA MBEYA NAO HAWAKUWA MBALI KUMLAKI RAISI KIKWETE AMBAPO WALIKUWA NA MABANGO YA KUMSHUKURU NA KUMPONGEZA. |
| MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CRISPINI MEELA AKIMSIKILIZA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAISI PROFESA MWANDOSYA. |
| MKUU WA WILAYA YA ILEJE BI ROSEMARY SENYAMULE AKITETA JAMBO NA WADAU WA HABARI MKOANI MBEYA HUKU WAKIMSUBIRI MHESHIMIWA RAISI. |
| MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CRISPIN MEELA AKIBADILISHANA MAWAZO NA BAADHI YA WANAHABARI WA MKOA WA MBEYA. |
| KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA DIWANI ATHUMANI AKISISITIZA JAMBO KWA WAANDISHI WA HABARI WALIOJITOKEZA KUMLAKI MHESHIMIWA RAISI. |
| MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI ( SUGU) CHADEMA NAYE HAKUWA MBALI KUMLAKI RAISI KIKWETE |
| MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBASI KANDORO AKITETA JAMBO NA MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA MBEYA ATANUS KAPUNGA. |
| NDEGE ALIYOPANDA MHESHIMIWA RAISI IKIWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA SONGWE MKOANI MBEYA TAYARI KWA ZIARA YA SIKU MBILI. |
| RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE AKITEREMKA KWENYE NDEGE BAADA YA KUWASILI KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA SONGWE MBEYA(SIA) |
| AKISALIMIANA NA VIONGOZI MBALIMBALI |
| BAADA YA KUVALISHWA SKAFU KUTOKA KWA VIJANA WA GREEN GUARD |
| AKISALIMIANA NA WANANCHI |
| NGOMA ZA ASILI ZIKITOA BURUDANI |
| AKIONDOKA KATIKA UWANJA WA NDEGE HUKU AKIWAPUNGIA WANANCHI MKONO. Picha na Mbeya yetu |
1 comment:
Hongera zenu
Post a Comment